info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
April 5, 2025 14:40:18 | By Adeline Berchimance MKURUGENZI MKUU WA TTCL ATEMBELEA TANGA KUKAGUA UJENZI WA MINARA YA MAWASILIANO

Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Moremi Marwa, amefanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Tanga kwa ajili ya kukagua

News
August 26, 2024 12:48:37 | By Adeline Berchimance RAIS SAMIA APONGEZA TTCL USHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi cheti cha

News
July 8, 2024 14:25:03 | By Adeline Berchimance ZIARA YA WAJUMBE WA BODI SABA SABA

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bodi ya

News
September 22, 2023 11:40:44 | By Adeline Berchimance TAASISI, MASHIRIKA, WIZARA TUMIENI DATA CENTRE KUTUNZA DATA KIMTANDAO – KATIBU MKUU WHMTH

Wito umetolewa kwa Taasisi, Mashirika ya Umma na binafsi na Wizara mbalimbali kutumia Kituo cha Kutunza Data Kimtandao (Data Centre)

News
March 11, 2025 14:37:57 | By Adeline Berchimance WANAWAKE TTCL ZIARANI NGORONGORO

Machi 7 mwaka huu Wanawake wa TTCL waliungana na Wanawake wenzao Zaidi ya 400

News
July 1, 2024 13:19:48 | By Adeline Berchimance SABA SABA 2024 FURSA KWA TTCL KUONESHA UMAHILI WAKE SEKTA YA MAWASILIANO

Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL linashiriki katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Saba Saba katika

News
April 4, 2025 15:19:52 | By Adeline Berchimance CPA MARWA ATOA WITO KWA WANANCHI KUTUNZA MIUNDO MBINU YA MAWASILIANO

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), CPA Moremi Marwa, amefanya ziara

News
September 15, 2023 14:17:21 | By Adeline Berchimance TUNA MATUMAINI MAKUBWA NA TTCL - WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali inayo matumaini makubwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

News
July 8, 2024 19:44:12 | By Adeline Berchimance SABA SABA FURSA YA KUKUTANA NA WATEJA NA KUIMARISHA MAHUSIANO KIBIASHARA

Maonesho ya Saba Saba ni maonyesho ya biashara na viwanda yanayofanyika

News
October 13, 2024 11:02:07 | By Adeline Berchimance TTCL KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WATEJA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema litaendelea kuboresha huduma zake kwa wateja kupitia

News
September 19, 2024 08:29:00 | By Adeline Berchimance WADAU WA SEKTA YA MAWASILIANO NA TEHAMA WATAKIWA KUIUNGANISHA AFRIKA

Mhe. Jerry Slaa (Mb) amewataka Wadau wa sekta ya TEHAMA na Mawasiliano kuunganisha Afrika kwenye miundombinu ya mawasiliano

News
September 18, 2024 14:06:27 | By Adeline Berchimance TTCL MSHIRIKI NA MDHAMINI WA MKUTANO WA C2C 2024

Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL litawezesha huduma ya mawasiliano ya intaneti yenye kasi, Mkutano wa Kimataifa wa TEHAMA na Mawasiliano

News
September 24, 2024 09:34:19 | By Adeline Berchimance T-PESA NA NIC ZASHIRIKIANA UTOAJI BIMA KWA WAKUU WA TAASISI

Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, T-PESA Limited na Shirika la Bima

News
March 14, 2024 12:33:57 | By Adeline Berchimance UBUNIFU, WELEDI, KUJITAMBUA NA KUJIAMINI VYA TAJWA KUWA SILAHA YA WANAWAKE KUTIMIZA MALENGO

Wanawake Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania wameshauri kuendeleza jitihada zaidi na ubunifu, kujitambua,

News
December 16, 2024 16:59:15 | By Ester Mbanguka WAZIRI SILAA AZINDUA RASMI BODI MPYA YA TTCL

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amezindua rasmi Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL leo tarehe 16 Desemba, 2024, Makao Makuu ya TTCL, jijini Dar es Salaam.