info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
October 13, 2024 10:33:32 | By Adeline Berchimance TTCL KUJENGA MINARA 636 KUIMARISHA MAWASILIANO NCHINI

SERIKALI kupitia Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linatarajia kujenga minara 636 Tanzania nzima katika

News
July 4, 2024 12:29:51 | By Adeline Berchimance TTCL YAJA NA HUDUMA YA T CAFE

SHIRIKA ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) limekuja na huduma mpya ambayo itahusisha kufunga mtandao kwa bei nafuu katika

News
June 20, 2024 10:32:03 | By Adeline Berchimance TTCL YAWAPATIA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA DIT

Wanafunzi wa Chuo cha DIT wameshauriwa kuweka bidii na maarifa katika masomo yao ili waweze kufikia malengo na

News
August 29, 2024 17:27:10 | By Adeline Berchimance CPA MOREMI MARWA ATEMBELEA BANDA LA TTCL ARUSHA

Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, CPA Moremi Marwa, ametembelea Banda la Maonesho la Shirika hilo lililopo katika Viwanja vya Ukumbi

News
April 8, 2024 14:20:05 | By Adeline Berchimance KAMATI YA BUNGE YA TEHAMA NA MIONGOZO YA KITAIFA YA UGANDA YAFANYA ZIARA TTCL

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya TEHAMA na Miongozo ya Kitaifa ya Uganda kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano ya Uganda

News
August 2, 2023 12:48:23 | By Adeline Berchimance MIUNDOMBINU BORA YA MAWASILIANO KITOVU CHA UKUAJI UCHUMI KIDIGITALI

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania- TTCL Bi. Zuhura Muro amesema TTCL inauwezo wa kuifanya Tanzania kuwa nchi kiongozi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC kutokana uwepo wa miundombinu bora ya mawasiliano yenye uwezo wa kufanikisha ukuaji wa uchumi wa kidjitali.

News
February 23, 2024 19:42:29 | By Adeline Berchimance TTCL YAZIDI KUJIKITA KIMATAIFA KIBIASHARA

Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeonesha dhamira thabiti ya kusimamia sekta ya mawasiliano nchini kwa

News
September 19, 2024 08:24:58 | By Adeline Berchimance MHE. SILAA APONGEZA JUHUDI ZA TTCL KATIKA KUUNGANISHA AFRIKA

Mhe.Jerry Silaa amepongeza juhudi za Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL katika kuungaisha nchi za jirani

News
July 6, 2024 20:04:56 | By Adeline Berchimance JAJI MKUU WA TANZANIA AVUTIWA NA HUDUMA YA CALL CENTER SABASABA

Jaji Mkuu waTanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati wa Maonesho ya

News
April 8, 2024 15:24:58 | By Adeline Berchimance TUTAENDELEA KUIMARISHA MAWASILIANO MKOANI MWANZA ILI KUONGEZA UFANISI: MHA. ULANGA

Mkurugenzi Mkuu Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Mhandisi. Peter Ulanga, ameahidi kuwa shirika hilo litaendelea kuimarisha miundombinu ya

News
August 28, 2024 16:40:15 | By Adeline Berchimance MKURUGENZI MKUU TTCL ASHIRIKI KIKAO KAZI CHA MSAJILI WA HAZINA -ARUSHA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, CPA Moremi Marwa ameshiriki Kikao Kazi cha cha Wenyeviti wa Bodi na

News
October 11, 2023 11:10:40 | By Adeline Berchimance MAWASILIANO NI BIASHARA ONGEZENI UBUNIFU-NAIBU KATIBU MKUU SMZ

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limeshauriwa kufanya kazi kwa bidii, uadilifu, kutafuta wateja

News
March 30, 2023 11:34:25 | By Adeline Berchimance TTCL WOMEN TOUCH THE NEEDY AT OCEAN ROAD

March 8 every year is International Women's Day, or International Women's Day. On this day, the women of the Tanzania Communications Association unite with their fellow women around the world to celebrate this important day.

News
July 8, 2024 19:44:12 | By Adeline Berchimance SABA SABA FURSA YA KUKUTANA NA WATEJA NA KUIMARISHA MAHUSIANO KIBIASHARA

Maonesho ya Saba Saba ni maonyesho ya biashara na viwanda yanayofanyika

News
October 18, 2024 09:29:14 | By Adeline Berchimance WAFANYAKAZI WA BUNGE LA MAREKANI WAFANYA ZIARA TTCL

Wafanyakazi wa Bunge la Marekani (Congressional Staff) Oktoba 17, 2024 walifanya ziara