Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation wameungana na Wafanyakazi wenzao duniani
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania- TTCL Bi. Zuhura Muro amesema TTCL inauwezo wa kuifanya Tanzania kuwa nchi kiongozi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC kutokana uwepo wa miundombinu bora ya mawasiliano yenye uwezo wa kufanikisha ukuaji wa uchumi wa kidjitali.
Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma kimefungwa rasmi na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa Oktoba
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) awatunuku tuzo na vyeti kwa washiriki 57 walioshiriki katika uzinduzi wa huduma ya mawasiliano Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro Disemba 13, 2022.
Ukosefu wa huduma za kijamii kama maji, umeme, elimu, miundombinu pamoja na mawasiliano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Banda la TTCL kwenye
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amezindua rasmi Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL leo tarehe 16 Desemba, 2024, Makao Makuu ya TTCL, jijini Dar es Salaam.
SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa vifaa vya kufányia usafi soko la Mabibo jijini Dar es Salaam kwa lengo likiwa
Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL limesema kuwa litapeleka huduma za
TTCL kama kitovu cha Mawasiliano imehakikisha huduma ya intaneti inapatikana katika kiwango cha juu katika
T- Pesa Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL-Corporation ni miongoni mwa Mashirika na
Serikali kupitia Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL imetekeleza mradi wa kuunganisha mkongo wa Taifa w
SERIKALI kupitia Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linatarajia kujenga minara 636 Tanzania nzima katika
Mkurugenzi Mkuu Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Mhandisi. Peter Ulanga, ameahidi kuwa shirika hilo litaendelea kuimarisha miundombinu ya