Imeelezwa kuwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) ni kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Mawasiliano na kitovu cha maendeleo ya uchumi wa Kidigitali nchini.
Shirika la Mawasiliano Tanzania- TTCL Limedhamini Michuano ya Samia Youth Cup lenye lengo la kukuza vipaji kwa vijana katika michezo hapa nchini.
Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL Corporate Machi 26 mwaka huu limetoa futari kwa Watoto Yatima katika Kituo cha Mazizini na