info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
Habari
April 10, 2025 09:55:33 | Na Adeline Berchimance N-CARD YAPONGEZWA UKUSANYAJI NA UDHIBITI WA MAPATO

Imeelezwa kuwa uwepo wa matumizi ya N-CARD katika maeneo ya vivuko, stendi za mabasi na

Habari
April 5, 2025 14:40:18 | Na Adeline Berchimance MKURUGENZI MKUU WA TTCL ATEMBELEA TANGA KUKAGUA UJENZI WA MINARA YA MAWASILIANO

Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Moremi Marwa, amefanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Tanga kwa ajili ya kukagua

Habari
April 4, 2025 15:19:52 | Na Adeline Berchimance CPA MARWA ATOA WITO KWA WANANCHI KUTUNZA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), CPA Moremi Marwa, amefanya ziara

Habari
April 2, 2025 11:46:42 | Na Adeline Berchimance KAMILISHENI UJENZI WA MINARA KWA WAKATI- CPA MARWA

Wakandarasi wa ujenzi wa minara ya mawasiliano wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kwakuzingatia

Habari
March 27, 2025 11:38:07 | Na Adeline Berchimance TTCL YAFUTURISHA WATOTO YATIMA NA WAZEE ZANZIBAR

Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL Corporate Machi 26 mwaka huu limetoa futari kwa Watoto Yatima katika Kituo cha Mazizini na

Habari
March 11, 2025 16:09:26 | Na Adeline Berchimance KICHERE AWAPONGEZA WANAWAKE, ASEMA SHIRIKA LINAWATAMBUA

Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wameungana na maelfu ya wanawake kutoka sekta mbalimbali kushiriki katika

Habari
March 11, 2025 14:37:57 | Na Adeline Berchimance WANAWAKE TTCL ZIARANI NGORONGORO

Machi 7 mwaka huu Wanawake wa TTCL waliungana na Wanawake wenzao Zaidi ya 400

Habari
February 11, 2025 20:06:28 | Na Adeline Berchimance MAKAMU WA RAIS, DKT MPANGO AZIAGIZA TAASISI NA MASHIRIKA MIFUMO KUSOMANA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linashiriki Kikao Kazi cha Tano cha Serikali Mtandao kinacholenga kuimarisha matumizi ya (TEHAMA) katika kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Habari
February 7, 2025 12:39:45 | Na Adeline Berchimance WASTAAFU TTCL WAISHUKURU MENEJIMENTI KWA KUWAPA MAFUNZO YA KUSTAAFU

Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL waliostaafu na wanaotarajia kustaafu hivi karibuni wameishukuru Menejimenti

Habari
January 9, 2025 12:13:29 | Na Adeline Berchimance IMARISHENI MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO ILI KUFIKIA MALENGO YA SERIKALI – MHANDISI MAHUNDI

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb),

Habari
December 16, 2024 16:59:15 | Na Ester Mbanguka WAZIRI SILAA AZINDUA RASMI BODI MPYA YA TTCL

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amezindua rasmi Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL leo tarehe 16 Desemba, 2024, Makao Makuu ya TTCL, jijini Dar es Salaam.

Habari
November 26, 2024 08:31:53 | Na Adeline Berchimance MKURUGENZI MKUU WA WAKALA WA MAENDELEO YA HUDUMA ZA MTANDAO NCHINI COMORO AFANYA ZIARA TTCL

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Huduma za Mtandao nchini Comoro (ANADEM) Bw. Said Mouinou